Unguja. Mfumko wa bei kwa Januari 2025 Zanzibar umeongezeka na kufikia asilimia 5.27 kutoka asilimia 4.9 iliyorekodiwa Desemba 2024, huku bidhaa za mchele na ndizi zikichangia kwa ...
Simiyu. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewahimiza wakulima wa zao la pamba kuongeza uzalishaji kwa ekari kwa kufuata kanuni ...
Moshi. Wazee wasiojiweza zaidi ya 60 wanaoishi Kijiji cha Msae Kinyambuo, pembezoni mwa msitu wa Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro ...
Kubecha anasema Mapango ya Amboni yamekuwa na faida kwa Wilaya ya Tanga, kwani watu kutoka maeneo tofauti wanafika hapo kwa ajili ya kutalii na Serikali inaingiza mapato, huku wananchi na ...
Aziz Ki akiwa amepiga goti, alimuomba Hamisa kukubali ombi la kuwa mkewe, muda mfupi baada ya kukamilisha taratibu za utoaji ...
Mchuano huo uliokwenda hadi mzunguko wa saba Youssouf ameshinda kwa kupata kura 33, baada ya Raila kuondoa jina lake.
Hamisa ameiambia Mwananchi Digital kuwa, anamshukuru Mungu kumpata mtu anayeona ndiye anamfaa katika maisha yake na tayari ...
Mama huyo, amesema, Hamisa na Azizi Ki wapo katika uhusiano mwaka moja hadi kufikia hatua ya sasa ya kufunga ndoa ni jambo la ...
Februari 12, 2025 akiwahutubia Watanzania katika ofisi za makao ya Chadema, Mikocheni jijini Dar es Salaam Lissu alitangaza ...
Dar es Salaam. Miili ya watu watatu kati ya wanne waliyofariki katika ajali iliyohusisha lori lililohama njia na kuparamia ...
Mahmoud Youssouf ameshinda nafasi hiyo kwa kupata kura 33. Wagombea wengine walikuwa Raila Odinga wa Kenya na Richard ...
Wakati Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega akiwataka wataalamu wa sekta ya ujenzi kubuni mbinu za kupunguza foleni mijini, ...