Serikali imesema itafanya mazungumzo na wafadhili ambao wameonyesha nia ya kujitoa kufadhili miradi mbalimbali nchini ...
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea, Mhandisi Chionda Kawawa, ameonya watumishi wa umma dhidi ya kutumia mabavu na sheria kandamizi wanapotekeleza majukumu yao kwa wananchi. Ame ...
WANANCHI 866 wamenufaika na mafunzo ya muda mfupi na muda mrefu ambayo yanatolewa na Chuo cha ufundi stadi(VETA) Gorowa kilichopo wilaya ya Babati mkoani Manyara. Akitoa taarifa ya chuo hicho jana kat ...
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, amesema kuwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeendelea kufanya mageuzi makubwa ...
Idara ya Uhamiaji mkoani Songwe inawashikilia raia saba wa Pakistan kwa tuhuma za kukiuka masharti ya viza walizopewa ...
WIZARA ya Uchukuzi imesema maboresho ya reli ya TAZARA yatafungua uchumi wa mikoa sita na kuongeza ajira 25,000 za moja kwa ...
Rashid Selemani Kalimbaga of Tanzania has been elected President of the African Road Maintenance Funds Association (ARMFA) ...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu ...
ASILIMIA 20 ya sababu zinazosababisha upofu, zinatajwa kusababishwa na mtoto wa jicho, huku watu wazima, wanaougua Magonjwa Yasiyoambukiza (NCDs), kama vile kisukari wakiwa hatarini. Aidha, mabingwa w ...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba Kabudi amesema utunzi na usomaji wa vitabu unatakiwa uenziwe ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya, limethibitisna kumkamata Mwalimu wa Shule ya Awali ya Saint Clement,, Clemence Mwandambo, ...
MKURUGENZI wa Halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga Hadija Kaboja, ametoa wito kwa watumishi wote wa halmashauri hiyo ...