Chama cha kibinfasi cha kisiasa cha MEP nchini Uingereza kimeshutumiwa kwa kutumia neno.....'Bongo Bongo Land' Lakini kwa baadhi ya watu nchini Tanzania, neno hilo lina maana isiyo na ubaya wowote.