Waziri Mkuu wa Japani Takaichi Sanae amefanya ibada ya matoleo katika Hekalu la Yasukuni huko Tokyo kwa ajili ya tamasha la ...
Kuna tetesi ambazo zinaendelea kushika kasi kwamba afisa wa ngazi ya juu wa serikali ya Korea Kaskazini ambaye amefanya ziara ya ghafla nchini China ni kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un. Vyombo ...
Kansela Merz amefanya mazungumzo na Zelensky na kutangaza mipango ya ushirikiano katika utengenezaji droni na mifumo ya ...
Rais wa Tanzani Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya baraza la mawaziri na kubuni wizara mpya. Akitangaza mabadiliko hayo, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Hussein Kattanga amesema Rais amefanya mabadiliko ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri, ambapo amewarudisha wanasiasa wakongwe. Mabadiliko hayo ya baraza la mawaziri ...
Paul Kagame, 66, ni mgombea na anayepewa nafasi kubwa ya kushinda katika uchaguzi huo. Bw. Kagame alichaguliwa tena mwaka 2003, 2010 na 2017, kila mara kwa zaidi ya 90% ya kura. Alama yake ilifikia 98 ...
NAIROBI – Rais wa Kenya, William Ruto, amefanya mazungumzo ya simu na mwenzake wa Ufaransa, Emmanuel Macron, kuhusu hali tete ya usalama inayoshuhudiwa mashariki mwa DRC, kuelekea mkutano wa viongozi ...